Mambo vipi guyz...Poleni na majukumu ya kazi.....Hii ni kazi mpya kabisa ya mwanadada Jamila Abdallah Aka Baby J toka Zanzibar wimbo unaitwa BWASHEE amemshirikisha Alikiba
Kazi imefanya G-RECORDZ Producer ni KGT....Long tym Baby J hajafanya kazi G-REC lakini sasa shez Back 4Rel na Video itafanya na Adam wa Visual Lab soon...She Nid Ur Supt sana....pamoja sana
Baby J # +255717424141
KGT G-RECORD # +255713183030
CEO G-RECORD & SHAROBARO REC GURU G-LOVER # +255715997899
Saturday, January 21, 2012
Baby J ft Ally kiba - Bwashee
Saturday, January 21, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment