The last collaboration that Ugandan dancehall king Peter Miles did with a Jamaican artist was the 2009 OOH AAH hit with Paul Levy a.k.a General Levy that made it to top charts on the local Radio and T.V stations in Uganda.
General Levy is a Ragga vocalist best known for the "incredible" track with M BEATS that spent many weeks on top of the charts in 1994.
Peter Miles mwishoni mwa mwaka huu wa 2011 remix ya wimbo wake wa Nice and Polite akishirikiana na mkali wa dancehall kutoka Jamaica Elephant Man ambae alikutana nae Uganda katika pati ndani ya Club Rouge na alikuwa akiperform at Lugogo Katikati restaurant, though this didn’t happen for reasons relating to failure of organizers to meet business agreement conditions and the simple requirements of the Jamaican superstar. Elephant Man later traveled to Rwanda and successfully performed on a massively attended show.
Spoke to original Peter Miles petea few days after Elephant Man leaving the country, this is what he had to say, "Elephant Man" aliiipenda Nice and Polite tune yake kwa sababu hata mashairi yake yalikuwa yamepangika sawasawa and decided to get on board so that we can do the remix because it's a potential hit in the reggae scene.
He’s also interested in me jumpin on other Jamaican riddims from Animal house in the future” Remix ya ngoma hiyo ambayo atarekodi na Elephant Man's Animal house; a fully installed mobile studio that the Jamaican star can setup wherever he goes. Kwa muda huu yupo katika chumba cha Hotel Africana, Kampala akiwa na wasanii wawili akirekodi remix ya wimbo wake huo wa Nice and Polite.
Na amesema kuwa atafanya video na Donald Mugisha a.k.a Don of Deddac films. Na video ya wimbo huo wa Nice and Polite remix anafikiria kuiachia hivi karibuni. Wimbo huo wa Nice and Polite remix utamuweka Peter Miles katika hatua nzuri na kuwa kimataifa zaidi baada ya kusimama na mkali wa dancehall. Elephant Man also left Don with his Water Cross rhythm’s Video for editing it will also be released soon.

0 Comments:
Post a Comment