Wednesday, November 9, 2011

TAMASHA LA STR8MUZIK KUITEKA DOM NA DAR


Chini ya uongozi wake Str8Muziki kama kawaida yao kuwapa burudani vyuo vikuu kwa mwaka huu wa 2011, sasa wananzia katika jiji la Dodoma na Dar na onyesho la kwanza linatarajiwa kuanza mjini Dodoma Novemba 12 na litafanyika katika ukumbi wa Royal Village.

Kwa upande wa Dar onyesho hilo litafanyika Leaderz Club tarehe Novemba 26 na katika onyesho hilo kwa wasanii wa kimataifa watakaopamba ni kutoka Marekani, DMX na Fabulous ambao ndio watakaofanya mambo katika shughuli hiyo.Kwa upande wa Dodoma wasanii watakaopamba ni pamoja na P-Unit, Nameless, JUma Nature, Jay-Mo Diamond, Mr Blue na Barbanas.

Lengo la Tamasha hilo ni kuwaunganisha wasomi wa vyuo vikuu katika burudani na kubadilishana mawazo pamoja na kushiriki michezo mbalimbali kama vile Pool,Kikapu na maonyesho ya mavazi.


0 Comments: