Monday, November 21, 2011

RUff G-Dem Supastar


Ruff G toka Nyutro Fellaz arusha sasa anakam na solo project yake ambayo kaipa jina,Dem supastar na ngoma hii imeweza kuonesha namna gani mchizi analifaham game la nyumbani kwa jinsi amecheza na title za mastaa kibao wa muziki wa kizazi kipya,"Ngoma hii nimerekodi pande za Noizmekah studios kwa defxtro coz nilifaham inahitaji beat yenye ladha tamu kuendana na mashairi nilotunga na namshkuru Mungu kwa uhai na pumzi alonipa pamoja na dogo wangu "SeleRazak alonifikisha kwa DX studio,mashabiki zangu wa nyumbani na duniani kote waskilizie ujio wa video ya kazi yangu hii hivi karibuni tu,respect kwa blog na radio zote kwa support yenu kubwa!peace

0 Comments: