Thursday, November 24, 2011

J4C aka Jforce na Cpwaaa ft DX


J-force wa "fimbo ya mbali" sasa anawa-surprise fans wake kwa kudrop kinyamwezi full nyakati hizi za swag music a.k.a Crunk na m2 mzima C to tha Pwaaa pamoja na DX kwenye chorus,THa crunkmaster himself kaua verse ya pili na huu mdundo ni wa pande za kwa DX a.k.a noizmekah.com "machizi mtaa wananishauri kila leo nifanye kweli mana uwezo upo kibao,na llengo langu mimi kama afro-rnb artist ni kuweza kupenya katika international scene ya muziki coz sasa im Back fo reaal ariffffff!!!!machiz wanakubali force navo-switch so i'ma do ma music the way a wanna do it,huu ni mwendelezo tu wa the "New Jforce" so expect alot in the comin 2011.



Much love kwa Mungu baba muumba mana bila yeye nisingekuepo duniani,pia big up kwa the brother bro CP,mana amekubali A-town na hasa zaidi studio ya noiz,pia nimshkuru Maza mzaz kwa support,ma fans na radio zote,tv zote without forgeting all the new media yani blogs & Internet websites kwa kusupport hii movement...

0 Comments: