Monday, November 14, 2011

BIZMAN


Hapa Bizman akiwa na mwanadada Lady JayDee
Salama wakubwa?Bizma karudi tena baada ya kupotea kwa muda..amekua akisafiri huku Ulaya mara nyingi na bendi ya INAFRICA ILA KWA SASA YUPO JAPO MWEZI UJAO TENA ANASAFIRI HUKO.Hapa katuachia ngoma yake mpya iitwayo ANZA UPYA amefanya SOUNDCRAFTERS kama kawaida.Kwa maelezo zaidi unaweza kumcheki kupitia
+255 0713 421111.Thanx.

0 Comments: