Friday, November 18, 2011

Bad taito the Junior Xplastaz wana "Bonga na Gash"


Junior Xplastaz baada ya kuachia ngoma ya "putcha hands",sasa wamerudi tena na pini jipya la hiphop kama kawa kufunika zaidi,this time machizi wameunda dude linalokwenda kwa jina "nabonga na gash",lilorekodiwa pande za noizmekah studios chini ya defxtro,"ii track 2lishairekori kabla kamaa (mdogo wake marehem fazanelly)hajaondoka kwenda mbele katika mchakato wa show pande za Amsterdam..

Sasa mchiz we2 amesharejea nyumbani arusha so tumejadili na kuamua kuwapa raia we2 wa hiphop ladha nyingine mpya,kifupi hii ngoma 2memwimbia "ngachuri"(demu) wa mtaa na ni hardcore gangsta loving mwanzo mwisho,much respect kwa fans wetu wote,dj's na mapresenter plus wadau wenye sites za media!this is the sound of hiphop i hop u hear it!....one

0 Comments: