Mambo vipi mdau,

Tetemesha Recordz inaendelea kukushkuru kwa support yako kubwa unayoendelea kutupatia, sababu inatupa nguvu ya kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi.

Huu ni wimbo mpya kabisa wa msanii wetu SAGNA unaitwa YAMENISHINDA. Wimbo huu ni mwendelezo wa story iliyopo katika wimbo wake uliopita wa MGANGA. Mwanzo tulipanga kuu release kwenye radio stations J3 ya wiki ijayo ila kuna mabadiliko kidogo sasa unaweza kuanza kupigwa muda wowote ukiipata e-mail hii.

Video za nyimbo zote mbili MGANGA pamoja na YAMENISHINDA zinakuja very soon.


CREDITS:

Track Name: YAMENISHINDA

Artist : SAGNA

written by: SAGNA, JOSEFLY & KID BWOY

arranged by: KID BWOY

Produced by: KID BWOY

Mixed by: KID BWOY

Studio: TETEMESHA RECORDZ

SEPTEMBER 2011


Contacts:

Sagna: +255 654 655280

Kid bwoy: +255 713 131073


tetemesharecords@gmail.com


Cheers,

Kid bwoy