


Kaa mkao wa kula kuisubiri filamu ya MKWE ambayo inatarajiwa kutoka wiki ijayo ikiwa na baadhi ya wasanii wakali katika tasnia ya filamu nchini Tanzania.Kwa mengi kuhusiana na filamu hii usicheze mbalimbali na burudanikilasiku
Stay -Tun for more information 'bout this Movie












0 Comments:
Post a Comment