Tuesday, September 6, 2011

Vatoloco soldiers na ngoma mpya "situations"



Kundi la hiphop toka arusha,Vatoloco soldiers wakiongozwa na FiDO
wanakuja na brand new track toka noizmekah inayokwenda kwa jina la
"situations",ngoma inayozungumzia maisha na uhalisia wa msoto ndani ya
mtaa,"hiphop ndo maisha yetu everyday na revolution goes on and
on,Mafans wategemee album yetu ya "Ungalimi to Queens" hivi
karibuni",alisema FiDO.Kama kawaida chrus hapo kasimamia Lavosti na verse
ya pili Ibra da Husla,Verse ya tatu kakanyagia "Bobray"...Harakati
zingine mbali na kurecord audio za kumalizia album ni video shooting
ya nyimbo kadhaa na leo 2namalizia video ya "Situations" chini ya
camera za hoodpixx kwa usimamizi wa m2 mzima DEFXTRO wa noizmekah..

0 Comments: