Friday, September 23, 2011

Moplus ft Roma & Banx-Ukweli


Moplus a.k.a. baba wa ukoo amshirikisha Roma mkatoliki na Banx katika pini linalokwenda kwa jina "Ukweli" lilofanywa arachuga chini ya producer defxtro ndani ya noizmekah studios,ikiwa ni nyimbo inayozungumzia jamii kiundani,moplus anasema "Na appreciate sana Mchiz kufanya collaboration na mimi katika project zangu,na nadhani ngoma hii mpaka sasa ndio itakayobeba album yangu "baba wa ukoo volume 2 kwa jinsi ni concious joint.


Other projects zitakazofikia media hivi punde ni pamoja na ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana,Video ya "X-RAY" nilofanya nam2 mzima mwenzangu JohMakini..Defxtro amekwisha nikabidhi mzigo wangu so fans wote tuendeleze safari hii ya muziki wangu kwa maana Mola alishabusu safari...

0 Comments: