Wednesday, September 28, 2011

BAADA YA KUKAA KIMYA BESTA SASA KUPIGA ZIARA DUBAI

Mwanadada Besta amesema kuwa baada ya kukaa nje kwa muda wa miaka mitatu sasa anarudi upya katika fani ya muziki kwa kufanya bonge la shoo nchini Dubai.

"Mafans wangu sasa waatanza kuniona tena stejini kwani itakuwa burudani kwa kwenda mbele,"alichonga Besta

0 Comments: