Msanii Ambwene Yessaya(AY) baada ya kufanya ngoma kali Speak Wit Ya Body akiwa na Lamya& Romeo sasa ameenda kufanya ngoma nyingine na Msanii kutoka huko huko Marekani Young Joc hivyo mashabiki waendelee kuona mambo makubwa mashabiki wake.
Thursday, September 29, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment