Monday, August 1, 2011

SERENGETI FIESTA 2011 ILIKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI

Mkali wa Hip Hop duniani, Christopher Brian Bridges ‘Ludacris’, jumamosi alifanya maajabu kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kupika bonge la shoo la aina yake na kuhudhuliwa na mashabiki kibao pamoja na wasanii wengi wa Tanzania.
Hapa Linah akienda kumwakilishi mwanadada LadyJaydee iliyotolewa kwake kwa mchango wake katika muziki wa kizazi kipya.

Msanii Fid Q nae alipokea tuzo ya msanii aliyeifikisha Bongo Fleva mpaka sasa kwa mchango wake mkubwa katika tasinia ya muziki wa hapa Tanzania.
Tip Top Connection nao waliwakilisha katika Fiesta
Diamond akikamua jukwaaani
Mwana FA nae akikamua

Mzee mzima Prof Jay a.k.a The Hevy Weight alikamua katika Fiesta
Mashabiki walikuwa wa kutosha kabisa

Linah alifunika ile mbaya na vivazi vyake

Juma Nature nae alichukua tuzo kwa mchango wake wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Ma Man Ludaaa aliwakilisha vilivyo ndani ya viwanja vya Leaderzzzz

Nature kazini
Ludaaaa kazini
Chid benzi na Mwasiti waliwakilisha
Ludaaaa


Chiz benz akikamua
Dj Feeeeehh nae aliwawakilisha mashabiki wake kama kawaidaaaa...
Mzee wa Habari nzenyu banaaaa Adamu Mchomvuu nae kama kawaida yake
Mwasiti akikamuaaaa

Ludaaaa kama kawaida alifanya makubwa mpaka mashabiki hawakuaminiii...Big Up Fiesta 2011 imesimama kuliko zilizowahi kufanyika.

0 Comments: