Wednesday, August 10, 2011

SAJNA FT. LINAH - SITAKI KUUMIZWA (club version)


Mambo vipi,
Huu ni wimbo wa Sajna aliomshirikisha Linah unaitwa Sitaki Kuumizwa ambao tuliutoa rasmi november mwaka jana, lakini hii ni CLUB VERSION. Kuna vingi vizuri kutoka kwa Sajna ambavyo Tetemesha records tunaendelea kuvifanyia kazi ila muda si mrefu tutawafikishia.



Track Name: SITAKI KUUMIZWA (club version)
Singer: SAJNA FT. LINAH
lyrics Verse-1, verse-2 - written by: KID BWOY
Linah's verse - written by JOSEFLY
Chorus written by SAJNA
arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)


Pamoja
Kid bwoy

0 Comments: