Saturday, August 13, 2011

NEW HIP HOP TRACK FROM TETEMESHA



Kid bwoy
mambo vipi,

Huyu ni msanii anaefanya muziki wa hip hop kutoka kanda ya zawa, wimbo huu ameurekodia Tetemesha recordz, na baada ya kuona uwezo wake ni mzuri nimeona nimsaidie kumsambazia kazi yake i hope utaipenda na kumsaidia. Anaitwa Frege.

SONG DETAILS

Track Name: NI WEWE TU
Artist: REGE
written by: REGE
arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)


Thanx for ur support
Kid bwoy

0 Comments: