Mambo vipi..
Track ya artist anayejulikana kwa jina la Jaguar
kutoka Kenya.Wimbo unaitwa KIGEUGEU ambao umetengenezwa na OGOPA DEE JAYS.Pia
nyimbo zake zingine kama NIMETOKA MBALI Featuring AY pamoja na wimbo wake
mwingine NIKUSKIZE ambazo pia zimetengenezwa na OGOPA DEE JAYS..Pia unaweza
kucheck video kwa youtube kwa kucheck link hizi ya KIGEUGEU
http://www.youtube.com/watch?v=FTBYc3lAnMU na NIMETOKA MBALI
http://www.youtube.com/watch?v=h4BoSQ4PSLs&feature=fvw pamoja na NIKUSKIZE
http://www.youtube.com/watch?v=DNygLy9IK1A

AMBWENE YESSAYAH (AY)
MANAGING DIRECTOR
UNITY ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
MANAGING DIRECTOR
UNITY ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED

0 Comments:
Post a Comment