Thursday, August 25, 2011

Baba wa ukoo from Kambi Tata round hiii na "Okay"


Kambi Tata,Crew linaloongozwa na Baba wa ukoo a.k.a. Moplus na Papaya
linadrop na banger jipya linalokwenda kwa jina "OKAY",this is a
weekend joint mahususi zaidi kwa fans wetu wanaoruka club kila
weekend,na zaidi kwa wa2 wetu wanahiphop ol over Tz na dunia
arif.."once again tumeunda mkono kwa defxtro pande za noizmekah na
this song is part of the coming kambi tata music album.


0 Comments: