Monday, July 18, 2011

Video ya C-SIR MADINI (KIFUNGO HURU)


Mambo vipi, ukiwa kama mdau ninapenda kukutaarifu kuwa video ya wimbo wa "KIFUNGO HURU" wa Csir Madini msanii mpya kutoka Tetemesha Records imekamilika, hivyo wewe kama mdau tunapenda kukupa umuhimu wa kuiona kwanza kabla haijaanza kuruka kwenye vituo vya television. Tafadhali itazame kwa kufuata link hapo chini.



Video Details:

Shooting date:15th May 2011
Locations: Dar es salaam
Director: Adam Juma / Next Level


Thanx for ur support.
Kid bwoy, Tetemesha Recordz (+255 713 131073)

0 Comments: