Wednesday, July 27, 2011

Nyimbo mpya MPENZI - MIRIAM MUNGWE


Mambo Mdau

Nyimbo hii ya MPENZI toka kwa msanii MIRRY iliyopo katika vionjo vya
bongo r&b aka slow dance, ni nyimbo yake ya kwanza kurekodi ambayo
imebeba jina la album yake itayotoka hivi karibuni baada ya
kukamilisha kurekodi nyimbo zote zenye vionjo mbalimbali ikiwemo SWEET
REGGAE (LOVERS ROCK), SLOW DANCE

Msanii MIRRY, Jina Kamili MIRIAM mwenyeji wa Dar es salaam naomba
sapoti yako ukiwa kama mdau wa karibu na mwenye kupenda sanaa ya
nyumbani.

Natunguliza shukrani za dhati katika shughuli zako za kila siku ila
kama utapenda kufanya mahojiano nami, namba zangu ni +255-762-271573



MAELEZO:

Jina la Nyimbo: Mpenzi
Jina la Msanii: Mirry
Jina Kamili: Miriam Mungwe
Mashairi na Mpangilio: Mirry
Utunzi: Mirry

Muandaaji, Mtengenezaji, Mpangilio wa Vyombo; Mr Deo, John ‘B’ Brass
John ‘B’ Brass at Grand Master Records, Arusha.
Uhakiki: John ‘B’ Brass at Grand Master Records, Arusha.

0 Comments: