Thursday, June 30, 2011

AY KUFANYA VIDEO LEO NA LIL ROMEO

AY
Kijana Ambwene Yessaya AY ambaye yuko jijini Los Angeles, Marekani asubuhi hii katika maduka ya jijini humo akifanya shopping ya nguo kwa ajili ya kufanya video yake na kijana kutoka kundi la No Limit, Lil Romeo katika ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "SPEAK WITH YOUR BODY"

0 Comments: