Kushoto ni mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Combinations Sound a.k.a Combinenga Man Water akipokea tuzo ya mwimbaji bora wa kiume kwa niaba ya 20% .Akimkabithi ni Mzee King Kiki.
TUZO ALIZOCHUKUWA 20% NI
1. Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa Mbaya, 2. Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
3. Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume, 4. Tuzo ya wimbo bora wa mwaka, 5. Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume



Mtayarishaji bora wa nyimbo Lamar
Wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi ulienda kwa msanii wa vichekesho wa Orijino Comedy, Mpoki
C-Pwaa akikabidhiwa tuzo ya video bora ya muziki wa mwaka uitwao
Action pia aliibuka na tuzo nyingine ya wimbo bora wa Ragga/dancehall uitwao Action

Msanii wa vichekesho wa Orijino Comedy, Mpoki wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi

Vijana wanaounda Mapacha watatu wakilishambulia jukwaa siku ya utoaji tuzo za Tanzania Music Award zilizofanyika jijini Dar es Salaam jumamosi katika ukumbi wa Diamond Jubilee
0 Comments:
Post a Comment