Tuesday, March 1, 2011

AY NDANI YA INDIA LEO ANAPIGA BONGE LA SHOO

Hapa akipokewa na mgeni wake nchini India
Ay ndani ya India

AY akiwasili ndani ya INDIA kwenye uwanja wandege wa kimataifa wa BANGAROLE,Leo 1st March atapiga ndani ya Blue Waves Bangarole then tarehe 5th atakamua Hyderabad.

0 Comments: