Saturday, February 26, 2011

THIS IS AMAZING:BONGO MOVIE FC YAFUNGWA GOLI 2-0 BONGOFLEVA FC

Kikosi cha Bongo Movie FCKikosi cha Bongo Fleva FCLeo jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kulikuwa na mpambano mkali kati ya Bongo Movie Fc na Bongo Fleva FC, ambapo Bongofleva waliinyuka timu ya Bongomovie mabao mawili bila huruma.Timu ya BongoMovie ikiongozwa na kamati ya ufundi, Bi Mwenda ilionekana kukosa amani baada ya kupata kipigo hicho cha mabao mawili bila, Naye Benny Kinyaiya aliwanyong'onyesha wachezaji wachezake baada ya kukosa penati ya wazi.Mechi hiyo lilifanyika kwa ajili ya kuwachangia watu waliopatwa na maafa ya milipuko ya mabomu yaliyotokea kambi ya Gombo la Mboto jijini Dar es Saalam.

Mdau wetu: Nicholus M

0 Comments: