Mambo vp!
Namtambulisha kwenu kijana anaitwa Martin Enock aka T-nock mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Mtoni iliyopo Mwanza. Nimeproduce wimbo wake huu wenye mahadhi ya house/dance/techno katika harakati zangu za kupromote style hiyo pendwa kwenye club. Kwa kuanza nimeanza na hiyo inayoitwa Moyoni mwangu na nitakuwa nikianda pia zingine za aina hiyo zitakazokuwa kwenye compilation itakayoitwa Bongo Technos Vol.1.
Thanks.
Fredrick Bundala aka Skywalker.
0716971409.
Fredrick Bundala aka Skywalker.
0716971409.
0 Comments:
Post a Comment