Saturday, January 8, 2011

KARIBU UMABE Arts


SALAM HERI YA MWAKA MPYA 2011 WEWE, TIMU NZIMA YA WEB SITE YAKO NA WADAU WOTE WOTE POPOTE DUNIANI. HONGERA SANA NA KAZI YA KUENDELEZA KUTUPA BURUDANI NA HABARI ...KWA KWELI TUMEKUFIKIA HATA HUKU MACHIMBONI..TUNAWAOMBA MUENDELEE HIVYO .

KWA KUTAMBUA UMUHIMU WAKO HASA KATIKA NYANJA ZA HABARI TULIKUA TUNAOMBA UTUSAIDIE KUTUTAMBULISHIA BLOG YETU KWA WADAU WOTE POPOTE DUNIANI. NATANGULIZA SHUKURANI.

UMABE Arts

Habari za leo wadau wote popote Duniani, kwanza tunapenda kuwapa mkono wa heri ya mwaka mpya 2011.Tunapenda kuwakaribisha nyote katika Web Blog yetu inayo jishughurisha na Sanaa za aina zote kama vile Muziki,maigizo,Filam nk, kwa ujumla mengi Mtayaona mtakapo tembelea Tovuti yetu. Pia tunaomba ushirikiano wenu kwani tunaamini sisi kama sisi hatujitoshelezi bila nyinyi wadau wetu. tunapenda kutanguliza shukurani zetu na karibuni sana.

WAKO KWA NIABA YA KAMPUNI

FREDY NJEJE

PROJECT AND DESIGN MANAGER

UMABE ARTS COMPANY LTD

Jina la Blog: UMABE ARTS

LINK: http://umabearts.blogspot.com/

kwa Pamoja tunaendeleza harakati za sanaa na wasanii Nchini.


0 Comments: