
Mariam akishangilia kwa furahi ushindi wa BSS 2010 ambapo mashindano hayo yalifanyika ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam

James ndio mshindi wa 2



Ali Kiba kwenye steji

Mariam akifurahia baada ya kutangazwa mshindi na Madam Rita


Joseph ni mshiriki wa Bongo Star Search kwa mwaka huu aliyepata cheki ya shilingi milioni 5 kutoka airtel na kutuzwa mara nyingi sana

Mariam akipewa pongezi na
,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi kwa kujinyakulia zawadi ya shilingi Milioni 30

Hapa Mariam akikumbatia na Madam Rita baada ya kutangazwa mshindi





Mwanadada Mariam hakuamini macho yake alipotangazwa kuwa mshindi wa Bongo Star Search kwa mwaka huu wa 2010, na kujinyakulia shilingi million 30

Wadada nao hawakuwa nyuma katika mchuano huo wa BSS
0 Comments:
Post a Comment