Baadhi ya   wasanii wachanga wakifanya mazoezi nje ya ukumbi  wakati   wakisubiri kuingia chumba cha kufanyiwa usaili katika kuwatafuta   washiriki kumi bora wa shindano la kusaka vipaji la Tusker Project Fame   lililofikia hatua ya pili jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya  wasanii waliofanikiwa kuingia  kumi  bora wakijaza fomu maalumu  katika kinyang’anyilo  cha  kusaka vipaji lijulikanalo kama  Tusker Project Fame lililofikia hatua ya pili jijini  Dar es Salaam.
Msanii Aneth Kushaba  akibubujikwa na  mazozi ya furaha baada kufanikiwa kuingia kumi bora katika  kinyang’anyilo cha kusaka vipaji kwa wasanii wachanga lijulikanalo kama  Tusker Project Fame lililofikia hatua ya pili jijini Dar es Salaam.
Picha na Juliana wa Dar es Salamm,Tanzania






0 Comments:
Post a Comment