Wednesday, September 8, 2010

PERFECT KASIGA A.K.A P.DIDDY AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde za kuthibitisha kabisa, zinaripoti kwamba Mkurugenzi Msaidizi wa Bendi ya Muziki ya Dansi ya Diamond Musica, Perfect Kasiga P.Diddy(Pichani) amefariki dunia
P. DIDDY AMBAYE ALIKUWA NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI MAARUFU WA TBC1,MAIMATHA JESSE AMEPATWA NA MAUTI HAYO LEO HII WAKATIKA AKIWA KATIKA MATEMBEZI YAKE YA KILA SIKU BAADA YA KUANGUKA GHAFLA KATIKA BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM


MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.

TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.
Habari kutoka blog ya http://www.issamichuzi.blogspot.com/

0 Comments: