♫ Ne-Yo - One In A Million
Wiki iliyopita , Ne-Yo aliachia ngoma yake mpya iliyokuwa inakwenda kwa jina la “One Life” kutoka katika albamu yake ya tatu, however, it’s reported he is releasing the new track, “One In A Million.”
Ngoma hiyo ni mpya kutoka katika albamu mpya ya Ne-Yo’s ya Libra Scale, which Ne-Yo has explained is inspired very much by Michael Jackson’s Thriller and Bad albums.
Ne-Yo ataiachia albamu hiyo mpya kwenye DVD na ikiwa katika video pia October 15th.
0 Comments:
Post a Comment