Monday, August 16, 2010

LEO AY NA MWANA FA WANAIACHIA NGOMA YAO MPYA YA DAKIKA MOJA

Habari tulizozipata muda si mrefu kwa njia ya Email kutoka kwa mkali wa Commercial Ambwene Yessaya AY amesema kuwa yeye na Mwana Fa leo siku ya Jumatatu wanaiachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Dakika moja wakiwa wamemshirikisha msanii Hard Mad.

Kazi ni kutoka ndani ya studio ya BHitz Record chini ya produza hammy B na video yake ifanywa na Visual label chini ya Director mwenyewe Adam. Ebwana mashabiki wakae mkao wa kula kwani ngoma imesimama ile mbaya.

0 Comments: