











Hapa Mh Temba akifanya makamuzi
Lil Kim na Juma Nature
Lil Kim na Juma Nature

Fiesta iliyofanyika ndani ya viwanja vya leaderz ilikuwa ya aina yake na nzuri kwani wasanii mbalimbali walifanya shoo nzuri sana na kuwafanya mashabiki walioudhuria katika shoo hiyo ya Jipanguse kuwa nzuri hasa pale msanii Juma Nature alipofanya makamuzi na mwanadada Lil Kim kutoka USA mitaa ya Brooklyn kwa kuwapagawisha mashabiki ile mbaya.Big up kwa Fiesta ya mwaka huu ilikuwa poa sana.
Mdau kutoka Dar, Julius P.


















0 Comments:
Post a Comment