Thursday, August 26, 2010

NGOMA MPYA YA AY&MWANA FA- DAKIKA MOJA


Ebwana hii ni ngoma mpya kabisa ya Ay na Mwana FA inayokwenda kwa jina la Dakika Moja ambayo wameiachia muda si mrefu katika vituo mbalimbali vya Televisheni ndani ya jiji la Dar es Salaam, hii ni ngoma mpya na ya ukweli kabisa kutoka kwa Wazeyaa wa Kazi, Wasanii wa Bongo hayo ndio mabadiliko yanayotakiwa. Big Up kwa Mzeyaa AY& FA.



Kaka ndio unafikiria maneno ya kumwambia nini?

Mtoto wa ukweli jamani hawa ndio wanaopendezesha video
Hapa Ay anatema cheche zake kwa dakika moja aliyoomba
Mwana FA aking'arisha kiatu cha mteja wake ambaye ni Ngwea
Hii video sehemu nayoipenda kupita maelezo ni hii hapa

0 Comments: