Friday, July 16, 2010

VIDEO MPYA YA MONICA - “LOVE ALL OVER ME”

Angalia video mpya ya Monica’s ni singo yake inayokwenda kwa jina la “Love All Over Me” (ikiwa imefanyiwa kazi na produza Bryan-Michael Cox na Jermaine Dupri). Ni ngoma yake ya pili kutoka katika albamu yake mpya kabisa ya Still Standing.

Katika vipande hivyo vya wimbo huo wanaonekana vijana wawili kutoka jiji la New York, ambaye ni rappa Maino na mcheza basketball kutoka NBA timu ya Lakers Shannon Brown.

You can to see who Monica picks as her love interest by texting OLDLOVE to 66937 or NEWLOVE to 66937. The winning pick will be on Monica’s official site later this month.


In one corner, you have Shannon Brown, a 6′4″ NBA champ.


By my estimation, Maino’s about 6′0,” 6′1″ and a platinum-selling rapper.

0 Comments: