Wednesday, July 14, 2010

IVETA RAGGATONE REMIX - SAJNA

Baada ya kutoka na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Iveta sasa kijana toka pande za Mwanza Sajna amekuja na Raggatone remix ya Iveta ikiwa na kazi yake produza Kid bwoy ndani ya studio ya Tetemesha.

Mpaka sasa albamu yake ipo katika hatua za mwisho kukamilika itakayokuwa na jumla ya nyimbo 10, baadhi ni IVETA, BINADAMU, MBALAMWEZI, SUBIRA, MGANGA, ROHO MBAYA, NADHIFA.

0 Comments: