Mkonge wa muziki wa Hip Hop nchini Joseph Mbilinyi aka Mr 2 amekamatwa na wana usalama leo asubuhi wakati akienda baraza la sanaa (basata) kwa ajili ya kipindi cha Press Talk ambacho hufanyika kila siku ya jumatatu saa tatu asubuhi kwa ajili ya kuzungumzia muziki wa Tanzania unaendaje hivyo sisi mpaka sasa hajajulikana ni nini alichohitiwa huko.
Hivyo bado mpaka sasa hatujatapa nini kinaendelea ila kama wadau wa muziki tunasubiri kujua kitu gani kilichompelekea mpaka kukamatwa kwake.
0 Comments:
Post a Comment