Friday, May 28, 2010

SASA NI MUSEKE AWARDS-AY

Baada ya kupata support ya kutosha kutoka kwa mashabii wake na kufanikiwa kuchukua tuzo za Chaguo la Teenz na Kili Awards sasa msanii Ambwene Yessaya AY anaomba sana support kubwa ili kuweza kushinda katika tuzo za Museke.. Now ni wakati wa Museke Awards. Na unaweza kuchagua katika website yao for free na mara nyingi utavyoweza ili AY ashinde. Kwani yuko katika 5 Categories:

Artist of the year / Best Male / Best Collaboration (feat. Avril n' Wahu) / East African Song (Leo; original version) / Hip Hop Song (Leo:Original version).
unaweza kuingia katika mtandao wa www.awards.museke.com kisha unavote kwa AY.. Awards zitafanyika tarehe 1 June mwaka 2010.

0 Comments: