Monday, May 24, 2010

P-square wachaguliwa katika tuzo za BET

Wasanii wanaounda kundi la P-square wamechaguliwa kugombea tuzo za BET zinazotarajiwa kufanyika mwezi wa sita ambapo wamechaguliwa katika tuoz ya 'Best New Artist Award ambapo tuzo hizo zitafanyika katika jiji la Los Angeles tarehe 27 mwezi wa sita.

Katika tuzo hizo mwanadada Queen Latifah ndio atakuwa mshereheshaji huku wasanii watakaopafomu ni pamoja na Nicky Minaj, Drake, Tery Songz, na Dirty Money.
Hongereni P-Square.

0 Comments: