Thursday, May 27, 2010

Hivi Common's yuko single?

Common na Serena
Unajua kwanini,hapa namzungumzia Common aliongelea kuhusiana na uvumi juu ya ndoa yake na mwanadada Serena Wiliams ambaye ni mcheza tennis maarufu nchini Marekani, ambapo Common alishindwa kuelezea ndoa yake na mwanadada huyo ambayo inaonekana kuwa kimya katika kipindi cha The Ellen DeGeneres Show.


Maybe that’s why a new rumor about the Just Wright star and tennis great being over is spreading so fast.Rhymes With Snitch reports that word has it that Serena and Common have grown apart and that was why we saw Common’s mom on the red carpet for the premiere of Just Wright and not Serena.And here’s what In Touch Weekly is saying:


Baada ya mahusiano yao ya miaka miwili, mcheza tenisi huyo maarufu Serena Williams, 28, na Rappa Common, 38, wameachana. “Kwa sasa wameachana,” alisema rafiki wa karibu wa mwanamuziki huyo. The duo made a last public appearance in April at the New York premiere of Date Night, but Common was acting single on the Tom Joyner Foundation Fantastic Voyage cruise while promoting the film Just Wright in mid-May. “He was a big hit with the ladies,” says a witness.

0 Comments: