Tuesday, May 25, 2010

ALPHA Feat. AY NDANI YA SONGA MBELE

Ebwana unajua kama msanii Alpha aliyetamba katika project Fame amekuja bongo kufanya kazi na sasa amefanya kazi na msanii Ambwene Yessaya AY inayokwenda kwa jina la Songa mbele ambayo kwa sasa inafanya vizuri katika vituo vya radio.
Track: SONGA MBELE

Artist: ALPHA Feat. AY
Produced By: HERMY B
Studio: B.HITS MUSIC GROUP

0 Comments: