T.I. ameongelea albamu yake mpya katika mitandao, TrapMuzik.com ndio waliofanya nae mahojiano baada ya kuachia huru aliokokua jela akitumikia kifungo jela. Na albamu yake anatarajia kuiachia Agosti 24 mwaka huu baada ya kujisikia kwa sasa yuko nyumbani huru!
T.I. amesema kuwa, “Kwa sasa niko huru na niko nyumbani. Najisikia bora zaidi kwa hapa nilipo.Na ninaangalia hali inavyokuwa, Sasa nafikiria muda mzuri wa kuutumia ile nifanye kitu bora zaidi.”alisema T.I.
“Kwa sasa nina albamu 6 na sitaki kuishia hapo nilipo bali ninataka kuendelea mbele zaidi, lakini kuhusiana na ufalme nilionao na shughuli zangu zinazonizunguka zinaweza kuwa mbaya au nzuri kama nitafanya mchezo, alisema T.I.
Saturday, April 3, 2010
T.I. aongelea albamu yake mpya baada ya kutoka jela
Saturday, April 03, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment