Friday, April 9, 2010

Nicki Minaj asema kuwa baada ya miaka hatakuwa Rapper

Mwanadada kutoka kundi la Young Money Princess, Nicki Minaj yuko tayari kufikiria kuwa baada ya miaka mitano kuanzia sasa hatakuwa Rapper. Mwanadada huyo aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na mwanadada Vanessa Satten wa XXL Magazine kuwa yeye si rapper.

“Unajua kwanini, Mimi ni mwanamke mburudishaji,” Nicki alisema, “lakini nataka watu wasinielewe vibaya kusema kuwa mimi ni mwanamke mburudishaji au mwanamke rapper kwa sababu naangalia challenge.”

Minaj amefafanua ya kuwa , “I’m about to climb over every single barrier and just put females on a different map altogether,” she continued. “Ninaangalia hichi kilicho mbele yangu. Sitaki kufikiria ya kuwa baada ya miaka mitano watu wanione mimi ni mwanamke rapper bali ni mburudishaji. But, as of right now, I get it. I started off in the underground hip-hop circuit, so I’m a female rapper right now. But it’s just the beginning.”

0 Comments: