Ney mwenye kofia nyeupe akiwa na Prof Jay
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ney wa Mitego jana alipata ajali baada ya kuligoonga gari la Mamlaka ya maji safi na salama (DAWASCO) kwa nyuma na kusababisha gari yake kuharibika vibaya sana ila msanii huyo yeye akuhumia hata kidogo.
Habari zinasema kuwa msanii huyo hakuhumia iila gari ndio imeharibika na sasa hivi msanii huyo alikuwa kituo cha polisi cha Oysterbay na gari yake kwa sasa ipo polisi na watu wa dawasco wanataka gari yao iligongwa na msanii huyo wamlipe.
Msanii huyo amesema kuwa kutokana na kumtaka awalipe gari yao kwa kuwanyooshea gari yao hiyo “Unajua hawa jamaa nimewaambia kazi ya kuwanyooshea gari yao wanataifanya Insurance kwani gari yangu inayo insurance ila kmtindo jamaa wanataka niwanyooshee mimi”alisema Nay.
Friday, March 26, 2010
NEY WA MITEGO APATA AJALI
Friday, March 26, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment