Tanzania Kilimanjaro Music Awards imetangaza leo kuwa katika mchakato huo wa tuzo kuna tuzo 21 zinazogombaniwa kwa mwaka 2009/2010 ambapo tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall Mei 14, 2010.
Mratibu wa tuzo hizo kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) , Mr Angelo Luhala amesema kuwa majina ya wasanii wanaogombania ni mwimbaji bora wa kike ambapo yupo Lady Jaydee, Mwasiti, Maunda Zorro, Vumilia na Khadija Yusuph.
Kwa upande wa waimbaji wa kiume ni pamoja na Marlow, Banana Zorro, Mzee Yusuph, Ali Kiba and Christian Bella. wengine waliotajwa kwa upande wa albamu bora ya taarabu, wimbo wa mwaka, wimbo bora wa kiswahili kwa bendi, Albamu bora (bandi), wimbo bora wa R&B,wimbo bora wa asili, wimbo bora wa hip hop, wimbo bora wa reggae, wimbo bora wa Ragga na bendi bora ya rapa.
Wameongeza kuwa kuna wimbo bora wa hip hop, wimbo bora wa Afrika Mashariki, mwandishi bora wa nyimbo,video bora ya mwaka,wimbo bora wa pop song,msanii bora anaechipukia, wimbo bora wa kushirikishwana produza bora.
Pia msanii wa muziki wa kizazi kipya Hamis Mwijuma a. k.a Mwana FA aliyesema kuwa anajitoa katika tuzo hizo mwaka jana kutokana na kutokuwepo kwa haki kwa msanii ila sasa amesema kuwa atakuwepo katika tuzo hizo kwa sababu kuna usawa baada ya kuhudhulia katika moja ya mikutano iliyokuwa akiwakutanisha wao na wadau mbalimbali wa muziki na kuona hakutakuwa na matatizo katika tuzo hizo huku msanii kutoka Jamaica, Sean Kingston atakuwepo katika kufanikisha tuzo hizo.
Na hii ndio list ya wasanii wanaowania Kili Music Awards 2009/2010
MWIMBAJI BORA WA KIKE
1.LADY JAYDEE
2.MWASITI
3.MAUNDA ZORO
4.VUMILIA
5.KHADIJA YUSUPH
MWIMBAJI BORA WA KIUME
1.MARLOW
2.BANANA ZORO
3.MZEE YUSUF
4.ALI KIBA
5.CHRISTIAN BELLA
ALBAMU BORA YA TAARAB
1.JAHAZI MODERN TAARAB – DAKTARI WA MAPENZI
2.5 STARS MODERN TAARAB – RIZIKI MWANZO WA CHUKI
3.COAST MODERN TAARAB – KUKUPENDA ISIWE TABU
4.NEW ZANZIBAR STAR – POWA MPENZI
5.EAST AFRICAN MELODY - KILA MTU KIVYAKE
WIMBO BORA WA AFRO POP
1.BANANA ZORO – ZOBA
2.ALI KIBA – MSINISEME
3.MARLOW – PII PII (MISING MY BABY)
4.MATALUMA – MAMA MUBAYA
5.CHEGE – KARIBU KIUMENI
MSANII BORA ANAYECHIPUKIA
1.BELLE 9
2.DIAMOND
3.BARNABA
4.QUICK RACKA
5.AMINI
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
1.AT FT. STARA THOMAS – NIPIGIE
2.MANGWEA FT. FID Q - CNN
3.BARNABA FT. PIPI – NJIA PANDA
4.MWANA FA FT. PROF. JAY NA SUGU – NAZEEKA SASA
5.HUSSEIN MACHOZI FT. JOH MAKINI – UTAIPENDA
WIMBO BORA WA TAARAB
1.JAHAZI MODERN TAARAB – DAKTARI WA MAPENZI
2.5 STAR MODERN TAARAB – WAPAMBE MSITUJADILI
3.KHADIJA YUSUPH – RIZIKI MWANZO WA CHUKI
4.JAHAZI MODERN TAARAB – ROHO MBAYA HAIJENGI
5.COAST MODERN TAARAB – KUKUPENDA ISIWE TABU
WIMBO BORA WA MWAKA
1.MARLOW – PII PII (MISSING MY BABY)
2.DIAMOND – KAMWAMBIE
3.BANANA ZORO – ZOBA
4.MRISHO MPOTO – NIKIPATA NAULI
5.HUSSEIN MACHOZI – KWA AJILI YAKO
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1.MACHOZI BAND – NILIZAMA
2.AFRICAN STARS BAND – MWANA DAR ES SALAAM
3.TOP BAND – ASHA
4.FM ACADEMIA – VUTA NIKUVUTE
5.EXTRA BONGO – MJINI MIPANGO
WIMBO BORA WA REGGAE
1.HEMEDI – ALCOHOL
2.DABO FT.MWASITI – DON’T LET I GO
3.MAN SNEPA – BARUA
4.MATONYA FT,CHRISTIAN BELLA – UMOJA NI NGUVU
5.A.Y – LEO (REGGAE REMIX)
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1.CHOKORAA
2.FERGUSON
3.KITOKOLOLO
4.TOTOO ZE BINGWA
5.DIOF
MSANII BORA WA HIP HOP
1.JOH MAKINI
2.FID Q
3.CHID BENZI
4.MANGWEA
5.PROFESSOR J
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1.BLUE 3 FT.RADIO AND WEASAL (Goodlife) – WHERE YOU ARE
2.KIDUMU FT.JULIANA – HATURUDI NYUMA
3.CINDY – NA WEWE
4.RADIO AND WEASAL (Goodlife) – BREAD AND BUTTER
5.KIDUMU – UMENIKOSA
MTUNZI BORA WA NYIMBO
1.MZEE YUSUF
2.MRISHO MPOTO
3.LADY JAYDEE
4.BANANA ZORO
5.MZEE ABUU
6.FID Q
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO:PRODUCER WA MWAKA
1.LAMAR
2.MARCO CHALI
3.HERMY B
4.ALLAN MAPIGO
5.MAN WATER
VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1.LADY JAYDEE – NATAMANI KUWA MALAIKA
2.DIAMOND – KAMWAMBIE
3.A.Y – LEO
4.BANANA ZORO – ZOBA
5.C PWAA – PROBLEM
ALBAMU BORA YA BENDI
1.AFRICAN STARS BAND – MWANA DAR ES SALAAM
2.KALUNDE BAND – HILDA
3.MSONDO NGOMA MUSIC BAND – HUNA SHUKURANI
WIMBO BORA WA R&B
1.BELLE 9 – MASOGANGE
2.DIAMOND – KAMWAMBIE
3.AT-STARA THOMAS – NIPIGIE
4.MAUNDA ZORO – MAPENZI YA WAWILI
5.STEVE – SOGEA KARIBU
WIMBO BORA WA ASILI YA KITANZANIA
1.MRISHO MPOTO – NIKIPATA NAULI
2.MACHOZI BAND – MTARIMBO
3.OFFSIDE TRICK – SAMAKI
4.WAHAPAHAPA BAND – CHEI CHEI
5.OMARI OMARI – KUPATA MAJAALIWA
WIMBO BORA WA HIP HOP
1.JOH MAKINI – STIMU ZIMELIPIWA
2.QUCK RACKA – BULLET
3.CHID BENZI – POM POM PISHA
4.MANGWEA – CNN
5.FID Q – IM A PROFESSIONAL
Thursday, March 25, 2010
Mambo ya Tanzania Kilimanjaro Music Awards
Thursday, March 25, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment