Hapa wakimpeleka HospitaliBebe Cool akiangaliwa na baba yake Mzee, Jaberi Bidandi Ssali katika Hospitali ya Nsambya siku ya alhamisi asubuhi. Anayemuangalia mwenye nguo nyeusi ni mke wa mwanamuziki huyo Zuena Kirema
Msanii wa muziki nchini Uganda, Moses Ssali aka Bebe Cool amepigwa risasi na maaskari hivi karibuni usiku katika mitaa ya Oasis, Nakumatt Shopping Mall.
Bebe amepelekwa katika hospitali ya Nsambya kwa uchunguzi zaidi na hali yake madaktari wanasema sio nzuri sana na sababu za kupigwa risasi.
Mtandao mmoja nchini Uganda umesema utafuatilia ili kujua tukio hilo na limetokana na kitu gani na watatoa ripoti juu ya kupigwa risasi na askari huyo huku wasanii wengi wa nchini humo wakisema sio bebe aliyepigwa risasi, kwani mpaka sasa wanashindwa kuelewa ilikuaje
Hata hivyo habari zilizolifikia gazeti moja la nchini humo limesema kuwa mpaka sasa Police wanamshikiria SPC, Alfred Achikan baada ya kufanya shambulio la kumpiga risasi msanii huyo siku hiyo ya Ijumaa majira ya usiku.
Monday, February 1, 2010
Wasanii washindwa kuamini kilichompata Bebe Cool
Monday, February 01, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment