Monday, January 4, 2010

Jay-Z kumsaidia Robbie Williams katika harusi yake

Jay-Z & Beyonce
Jay-Z kumsaidia Robbie Williams katika harusi yake anayotarajia kufunga hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi Ayda Field.

Mwanamuziki Jay-Z anatarajia kumsaidia mwanamuziki wa Pop, Robbie Williams anayotarajia kuifunga hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi aliyedumu nae kwa miaka mitatu, Ayda Field, na Robbie ni kitu alichokuwa akikifikiria kwa muda mrefu.

Jay Z amesema kuwa: "Ninayofuraha kumsaidia Robbie katika harusi yake. Na nina uhakika kuwa sherehe hii itaenda vizuri. Na hata nilipotimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwangu mwezi uliopita katika mkusanyiko wa watu nilikuwa nafuraha ile mbaya na pia harusi ya Robbie's itakapofanyika itakuwa nzuri,”.

Jay-Z has kwa sasa amesema kuwa anamkaribisha mwanandoa huyo katika chakula cha jioni ili wapange mipango ya harusi itakavyokuwa kwa ajili ya mkusanyiko wa watu wanaoisubiri.

Alilieleza gazeti la The Sun ya kuwa: "Burudani hii itakuwa kali na kama Robbie ataitaji pia msaada wangu sina shaka aje katika chakula cha jioni na Beyonce yuko tayari kumsaidia. Kwani ni shughuli nzuri itakayokuwa na umoja wa hali ya juu sana, hata mimi nimeipenda.
"Ila hatujua Robbie's kwa upande wake anafikiria nini,lakini harusi itakuwepo tu.

0 Comments: