
Mwana-Karate au kama ajulikanavyo kwa lugha ya mchezo huo uitwa kwa jina la “Karateka”. Karateka hubeba dhamana kubwa sana katika maisha yake ya kila siku kuhakikisha kwamba nidhamu ya mafunzo na desturi za uadilifu zinaenda sambamba na kuwa mfano bora wa kauli na matendo ya Sensei au mwalimu. Hivyo basi, hata wanafunzi wote wa Karate hufuata nyayo hizohizo kama jinsi ilivyo rithiwa toka vizazi na vizazi huko katika visiwa vya Okinawa,Japan kwa karne...