Saturday, June 10, 2017

Ashikiliwa akitumia kitambulisho cha marehemu


MWANAMUZIKI maarufu nchini Nigeria, Oyindamola Emmanuel ‘Dammy Krane’ anashikiliwa na polisi jijini Miami, Marekani kwa kutuma za kutumia jina la mtu aliyefariki dunia.
Nyota huyo alikamatwa jana akiwa Atlanta ikielezwa alikuwa akitumia kitambulisho cha mtu aliyefariki akijulikana Johnson Hunga ili apate mikopo aweze kuendeshea maisha yake.
Mwanamuziki huyo bado anashikilia na polisi huku akiendelea kushughulikia masuala yake ya dhamana.


0 Comments: