Friday, May 26, 2017

Vera Sidika anahitaji mtoto lakini kwa kununua mbegu




Mtandao: Watu wengi mashuhuri wanapenda uzuri, ulifikiria nini kuletea brandi yako ya chai?
Vera Sidika: Brandi yangu ya The Veetox kwa pamoja ni nzuri sana kwani imezalishwa katika ubora mzuri kwa ajili ya kuwasidia wakina dada kupunguza matumbo makubwa na kuwa ya kawaida. Kwani itaongeza kupunguza uzito wao wa unene na itauzwa kwa kiasi cha shilingi 3,000.

Mtandao: Pia unataka kuanzisha brandi nyingine ya nywele. Unataka kufanya nini ? Unataka kufungua duka?
V: Nahitaji kufanya biashara hiyo lakini nataka kuangalia kwanza soko likoje kwenye mstari
Mtandao: Tunaona kwenye mitandao ya jamii na unatupia picha za hatari na nzuri zenye utata kidogo unazotumaga
V: Kitu cha mzingi ni kwamba mimi ni mwanamke na nafanya vile mwanamke anataka kufanya. Mimi nasafiri kuzunguka dunia kila kukicha na ndio maisha niliyoyachagua. Hata video nazotuma zinanionyesha jinsi nilivyo mimi na ndio kitu kinachonitangaza jina langu katika mitandao ya jamii na ndio kinachonifanya nifanye biashara kama hizi. Watu kama mimi niko nao tofauti sana. Wengi wanapenda niongee kuhusu hips zangu na maziwa yangu.




Mtandao: Are you saying we will not see Vera the socialite anymore?
V: Vera is a luxurious business brand and it is all about high-end customers. I mean, the club appearance thing here does not pay as much as it is in other places where I get paid up to half a million shillings. I’m simply saying that I can no longer be that hyper girl flying to three cities every week. I am now 27 years old and taking life more seriously.
Mtandao: Besides making appearances, how do you make your money?
V: People have all kind of ideas on how I make money. I do consult for interior design and I have big clients in Nigeria and Europe as well as back here at home.
Mtandao: Do you have any regrets on the path you took?
V: Not really. People are still talking about my boob job and all. I am in fact getting them redone as I feel that they are small.



Mtandao: Ulisema unataka kuongeza maziwa makubwa?
V: It has been three years now and I feel that I should get 800cc implants. These ones are 450cc. I am going to Miami to get them fixed. I mean, they are not cheap like those the ‚other ‘girl’ got and then they started falling. I want to keep this sexy thing going on way past 30 years.
Mtandao: Wewe uliongelea miaka... kuna kingine cha ziada kwenye kichwa chako?
V: Nataka mtoto kabla sijafikisha miaka 30. Now, that is your scoop.
Mtandao: Interesting...
V: Yes, I want to get a baby before I am too old then get my sexy body back.
Mtandao: Does that mean there is a man in your life?
V: I am not the kind that believes in marriage. Honestly, I don‘t need a man to get a baby. I don’t think relationships are made for people like me. I have been proposed to twice, once by a very prominent personality but that is not my thing. Every time I try to date I stay like three months and it doesn‘t work so I kind of stopped going that emotional way. I mean, I don‘t want to have 100 divorces and be branded heartbreaker.
Mtandao: Are you saying you will get a sperm donor?
V: Sperm banks are here with us and there is nothing wrong with taking that route.

0 Comments: