Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel Mpangala akiwa ameshikilia taji muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji lilo katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini Dar es Salaam juzi
Kundi la wanamuziki la Wanaume Family likishirikiana na mwanamuziki toka Kenya, Wahu wakitawala jukwaa wakati wa kilele cha kumsaka Voda com Miss Tanzania 2010 katika ukumbi wa Mlimani City
Chege katika pozi
K-Lyin naye aliwakilisha Miss Tanzania 2010
Mh Temba katika pozi
K-Lyin
Maria Mpangala ambaye ni Mama Mzazi wa Vodacom Miss Tanzania 2010,Genevieve Emmanuel Mpangala akimpusu mwanaye muda mfupi mara baada ya kutangazwa mshindi wa taji hilo katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini Dar es Salaam
Mwanamuziki wa Kizazi kipya,Ambwene Yesaya (AY) akilitawala jukwaa vilivyo wakati wa kinyang’anyilo cha kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2010 katika ukumbi wa Mlimani City
0 Comments:
Post a Comment